Ni mwaka mmoja sasa tangu Mzee Paul Bomani afariki dunia mnamo
tarehe 1 mwezi wa April 2005 saa 1:00 asubuhi katika hospitali ya TMJ
alikokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya shinikizo la damu.
Mzee Bomani alizikwa tarehe 04 April 2005 jijini
Mwanza - Tanzania.
Familia yako inakukumbuka na bado inakulilia kwani pengo uliloliacha
halitozibika milele.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yako
mahali pema peponi,
Amen.