Tovuti ya Marehemu Mzee Paul Bomani " Kishamapanda"

 

 Home Page

 Picha zaidi za Kishamapanda na..
1. Marehemu Mw.Julius Nyerere
2. Rais Jakaya Kikwete
3. Mhe.Benjamin Mkapa
4. Mhe.Salmin Amour
5. Mhe.Joachim Chisano/Mhe.Warioba
6. Mch. Jesse Jackson
7. Familia 1974, USA
8. Akihutubia World Bank
9. Alipomaliza digrii ya pili
10. Watoto wake
Allan, Victoria na Smuts Bomani

11. Familia 1968 DSM
12. Paul Kishamapanda
sf

dsf

Ni mwaka mmoja sasa tangu Mzee Paul Bomani afariki dunia mnamo tarehe 1 mwezi wa April 2005 saa 1:00 asubuhi katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya shinikizo la damu. 

Mzee Bomani alizikwa tarehe 04 April 2005 jijini Mwanza - Tanzania.
 
Familia yako inakukumbuka na bado inakulilia kwani pengo uliloliacha halitozibika milele.


Mungu ailaze roho yako
mahali pema peponi,
 Amen.

 
 

Any comments : eddiejuma@gmail.com