|
|
||||
|
Tovuti ya Marehemu Mzee Paul Bomani " Kishamapanda" |
||||
| Home Page dsf |
![]() |
Ni mwaka mmoja sasa tangu Mzee Paul Bomani afariki dunia mnamo tarehe 1 mwezi wa April 2005 saa 1:00 asubuhi katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya shinikizo la damu. Mzee Bomani alizikwa tarehe 04
April 2005 jijini Mwanza - Tanzania. Mungu ailaze roho yako Mzee wetu mahali pema peponi, |
||
Any comments : eddiejuma@gmail.com